Piga Bongo

By Saffari, A. J.
Piga Bongo

Out of stock

Details

Authors: Saffari, A. J.
Format: Paperback
GTIN13: 9789966315953
ISBN10: 9966315950
Page Count: 214
Dimensions: 5.0x0.58x7.0
Publisher: Sasa Sema Publications

Description

Mayalla ni wakili mashuhuri lakini amezungukwa na jamii

iliyomkaba kama ukono. Yeye angependa kuishi safi safina lakini

wakubwa wake kazini, wadogo wake, mkewe na hata abiria

anaosafiri pamoja nao katika daladala moja wana tofauti naye,

wote ni kama kaniki. Hawabadiliki na kutenda hata chembe ya

uadilifu. Ni waovu kinehe! Si maadili katika ndoa, si biashara, si

maamuzi ya mahakamani; yote ni hali moja, tenge tahanani. Je,

Mayalla ataiacha kazi ya serikali ili akimbilie Dubai na

kuyakwepa maovu yaliyomzunguka? Je, atabaki palepale katika

mzunguko wa dira ambao huishia dirani? Itambidi Mayalla

kupiga bongo ili kufanya maamuzi ya busara, kuiokoa jamii na

nafsi yake. La sivyo...


Hii ni riwaya ya kisasa kuhusu usasa na usasaleo wa jamii

iliyozingwa na maovu.

Loading...